img

2Moods wa Canada aachia ‘Realite’

November 20, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA KUTOKA Alberta nchini Canada, msanii wa kizazi kipya anayefanya vyema pande hizo, 2Moods Lyricist, ameibuka kivingine na wimbo, Realite aliomshirikisha Paradis. 2Moods, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ameliambia MTANZANIA kuwakuwa licha ya kuwa yupo ughaibuni ila anaamini ana mashabiki wengi Afrika ambao wanahitaji kuburudishwa kwa muziki mzuri. “Video,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *