img

Vodacom na Infinix wazindua simu mpya ya Infinix NOTE 8

November 19, 2020

Mwandishi wetu Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC, kwa kushirikiana na Infinix leo imetambulisha rasmi simu mpya aina  ya Infinix NOTE 8. itaambatana na ofa ya GB 96 za internet kutoka Vodacom Tanzania PLC kwa Mwaka mzima. Vodacom Tanzania PLC wanashirikiana kuifikisha Infinix NOTE 8 kwa Watanzania ili kuhakikisha kila,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *