img

Twitter kuanzisha nyenzo ya ujumbe unaotoweka

November 19, 2020

CALIFORNIA, MAREKANI MTANDAO wa Twitter umezindua huduma mpya inayoitwa ‘fleets’, tweets ambazo hupotea baada ya saa 24, sawa na machapisho kwenye Snapchat na Instagram. Twitter hapo awali ilitangaza mpango wake wa tweets hizi za muda, zilizopewa jina la ‘fleet’, na kufanyia majaribio huduma hiyo huko Brazil, Italia, India na Korea Kusini. “Baadhi yenu mnatuambia kuwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *