img

Serikali yatahadharisha usugu dawa za UTI, Kifua kikuu

November 19, 2020

Na AVELINE KITOMARY-DAR ES SALAAM SERIKALI imewataka wananchi kuacha kutumia kiholela dawa za ‘antibiotic’ ili kuepuka usugu wa vimelea unaosababishwa na matumizi yasiyofaa ya dawa hizo. Miongoni mwa dawa ambazo zimetolewa tahadhari ni pamoja na za pneumonia, UTI, fungus, kifua kikuu na nyingine ambazo usugu umefikia asilimia 44 kwa mikoa yote. Akizungumza jana Dar es,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *