img

MIAKA 55 YA UNICEF Afya ya watoto imeboreshwa ukilinganisha awali

November 19, 2020

Na LEONARD MANG’OHA TAARIFA ya Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (Unicef) ya Aprili mwaka 2017 inaonesha kuwa kiasi cha watoto 269 walio chini ya umri wa miaka mitano wanaelezwa kufariki dunia kila siku hapa nchini. Aidha tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa idadi ya vifo vya watoto wa umri huo imekuwa ikipungua ambapo kiasi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *