img

Kesi anayedaiwa kujaribu kumuua mkewe yapigwa kalenda

November 19, 2020

Na JANETH MUSHI-ARUSHA KESI ya kujaribu kuua inayomkabili mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Ombeni Mollel (33), imeahirishwa kutokana na upelelezi wake kutokamilika. Jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Arumeru, Chrisanta Chitanda, Jamhuri iliwakilishwa na Wakili Rose Sule. Katika shauri hilo la jinai namba 19 la mwaka huu, Mollel anatuhumiwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *