img

WHO kupambana na saratani ya kizazi

November 18, 2020

BRUSSELS, UBELGIJI SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limezindua mkakati mpya wa kupambana na kuiangamiza saratani ya kizazi, kwa matumizi mapana ya chanjo, vipimo vipya na matibabu ili kuokoa maisha ya watu kufikia mwaka 2050. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisema jana kuwa awali ilikuwa kama ndoto kupambana na kuondoa kabisa aina yoyote ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *