img

Takukuru yampandisha ofisa afya kizimbani

November 18, 2020

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, imemfikisha mahakamani Ofisa Afya Mkuu Msaidizi wa Wilaya ya Kongwa, Anania Madono (57) kwa kosa la kupokea rushwa ya Sh 200,000 ili asiyakamate madumu 63 yenye lita 309 za mafuta ya alizeti  kwa kisingizio kwamba  hayakuwa na vifungashio. Akizungumza na Waandishi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *