img

Mo Ibrahim aziumbua nchi za Afrika

November 18, 2020

ADDIS ABABA, ETHIOPIA RIPOTI kuu iliyotolewa juzi Jumatatu inaeleza kuwa, mchakato wa utawala bora umedorora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika kipindi cha muongo mmoja hata kabla ya maambukizi ya corona kuiathri dunia huku masuala ya kuheshimu demokrasia na haki za binadamu yakidorora. Ripoti inayotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim ambayo huchapishwa kila baada,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *