img

Likizo ya corona yaacha wanafunzi 12 na mimba Njombe

November 18, 2020

Na Elizabeth Kilindi-Njombe WANAFUNZI 22 wa shule za sekondari mkoani Njombe wamepata mimba wakati wa likizo ya corona Machi hadi Aprili mwaka huu, huku moja ya sababu ikitajwa ni pamoja na wazazi, walezi kutokuwa karibu na watoto wao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamis Issa, aliyasema hayo katika taarifa yake aliyoitoa hivi karibuni ofisini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *