img

‘Blessing’ ya Babbi Music yaanza kusumbua

November 18, 2020

ARIZONA, MAREKANI KUTOKA nchini Marekani , msanii wa Afro Pop mwenye asili ya Burundi, Babbi Music, amewashukuru mashabiki na vyombo vya habari Afrika Mashariki kwa kuipa nafasi video yake mpya, Blessing. Akizungumza na MTANZANIA , Babbi alisema wimbo Blessing umekuwa gumzo zaidi huku mashabiki wengine wakidhani ameingia kwenye muziki wa gospo jambo ambalo sio la,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *