img

Ahmed: Muhula uliotolewa kwa waasi umemalizika

November 18, 2020

ADDIS ABABA, ETHIOPIA WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, amesema kuwa muhula wa siku tatu uliokuwa umetolewa kwa ajili ya waasi wa eneo la Tigray kuweka chini silaha umemalizika na kuonya kuwa sasa jeshi la Taifa hilo litaendelea na operesheni yake ya kuukomboa mji mkuu wa eneo hilo Mekelle, kutoka mikononi mwa waasi. Kupitia ujumbe,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *