img

TRA yatoa mafunzo ya mfumo mpya wa ritani

November 17, 2020

Na Brighiter Masaki Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imetoa mafunzo juu ya maboresho mapya ya mfumo wa ritani ”return” za kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa walipa kodi wa mkoa wa Kinondoni ili kuwawezesha kupata kuelewa wa mfumo huo kabla ya kuanza kulipa kodi. Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kufungua mafunzo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *