img

Msimu wa mvua za VULI 2020 kuendelea

November 17, 2020

Na MWANDISHI WETU Msimu wa mvua za VULI 2020 unaendelea kama ulivyotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Wananchi wanakumbushwa kuchukua tahadhari na kuwa makini katika kipindi hiki chote cha msimu. TMA itaendelea kutoa taarifa za mara kwa mara endapo kutakuwa na tahadhari ya mvua kubwa kwa maeneo husika. Kupata taarifa za kila,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *