img

Michuano ya Kulisaka Kombe la Dunia 2022 – CONMEBOL Kuendelea Wiki Hii

November 17, 2020

Peru Kuwakaribisha Argentina. Mataifa ya Amerika yanaendelea na harakati za kuisaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia 2022. Michezo ya Kufuzu CONMEBOL inaendelea tena wiki hii, Peru wakiwakaribisha Argentina siku ya Jumatano. Huu ni mchezo wa aina yake katika historia ya soka la Amerika. Argentina atakuwa uwanjani akijaribu kurudi kwenye ubora wake kwa kushinda kila,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *