img

Abel & Fernandes, St. Laurent wajitosa kuhamasisha watanzania kudhibiti kisukari

November 17, 2020

NA MWANDISHI WETU Katika kudhibiti ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza hususani kisukari, Kampuni ya Abel & Fernandes Communications, Quincewood Consulting pamoja na Kituo kinachotoa huduma za Kisukari  St. Laurent, imeungana na Serikali kudhibiti magonjwa hayo kwa kutoa huduma bure za upimaji na ushauri wa kitabibu kwa wananchi wa jiji la Dar es Salaam. Pia, Watanzania wametakiwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *