img

NGO’s zajipanga kuendana na dira ya serikali

November 16, 2020

 Na JANETH MUSHI-ARUSHA MBUNGE wa Viti Maalum anayewakilisha kundi la Asasi za Kiraia (NGO’s),Tanzania Bara,Neema Lugangira amesema atahakikisha asasi zisizo za kiraia,mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wadau wa maendeleo wanatekeleza mambo ambayo yanaendana na dira ya serikali. Akizungumza na MTANZANIA jana,amesema baada ya kusikiliza hotuba ya Rais Dk.John Magufuli,wakati wa uzinduzi wa Bunge la,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *