img

Lowassa achangisha Sh milioni 300 ujenzi wa Kanisa

November 16, 2020

Na JANETH MUSHI – ARUSHA WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameongoza harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa Kuu (Cathedral) la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, ambalo litakuwa na uwezo wa kubeba waumini 1,700. Katika shughuli hiyo ya harambee iliyofanyika jana katika Usharika wa Mjini Kati-Kanisa Kuu, Lowassa alifanikisha kuchangisha zaidi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *