img

Hospitali binafsi yaanza kutoa huduma upasuaji wa moyo

November 16, 2020

Na AVELINE KITOMARY – DAR ES SALAAM HOSPITALI binafsi ya Saifee iliyoko jijini Dar es Salaa imeanza kutoa huduma ya upasuaji wa moyo ili kusaidia kupanua huduma na matibabu hayo hapa nchini. Hospitali Hiyo ni ya kwanza ya binafsi kuanza kutoa huduma hiyo hapa nchini mbali na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI). Akizungumza na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *