img

Watalaamu waonya ongezeko magonjwa yasiyoambukiza

November 15, 2020

Na EVALINE KITOMARY -DAR ES SALAAM KUTOKANA na kuendelea kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza, wataalamu wa afya wamewasisitiza wananchi kuweza kuacha mtindo mbaya wa maisha badala yake wazingatie lishe inayotakiwa na ufanyaji mazoezi. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha wiki ya magonjwa yasiyoambukiza ambayo ilianza Novemba 07 hadi 14, Mkuu wa Mkoa huo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *