img

Kituo kingine cha redio chapigwa faini ya Sh mil 9/-

November 15, 2020

Na BRIGHITER MASAKI -DAR ES SALAAM. MAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) imekipiga faini ya shilingi milioni 9 kituo cha redio cha Passion Fm kwa kurusha maudhui pasipo kuwepo kwa mizani ya habari jambo  ambalo ni kosa kisheria. Kituo hicho pia kimetakiwa kuomba radhi kwa muda wa siku tatu kuanzia Novemba 14 hadi 16 mwaka huu.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *