img

Kaki Mwihaki aibuka na Asante

November 14, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA BAADA ya kufanya vyema na wimbo, Tabibu, mwimbaji wa Kimataifa mwenye asili ya Kenya anayeishi Marekani, Kaki Mwihaki, amerudi kivingine na audio ya ngoma, Asante. Kaki, ameliambia MTANZANIA kuwa kuwa wimbo Asante umebeba shukurani kwa Mungu kwa mambo mengi ambayo ameendelea kuyatenda huku akiimba kwa lugha mbalimbali. “Naishukuru timu yangu yote kwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *