img

Hakuna demokrasia isiyo na mipaka – JPM

November 14, 2020

Ramadhan Hassan -Dodoma RAIS Dk.John  Magufuli amekumbusha kuwa hakuna demokrasia isiyo na mipaka na kwamba lengo lake ni kuleta maendeleo na sio fujo. Kauli hiyo aliitoa jana bungeni wakati akifungua Bunge la 12 ambapo alisema katika  miaka mitano ijayo,Serikali  itaendeleza jitihada za kukuza na kuimarisha demokrasia, kulinda uhuru na haki za wananchi na vyombo vya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *