img

‘Focus’ ya Coolpixie yatua mtaani

November 14, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA LEBO inayokuja kwa kasi barani Afrika kutoka Afrika Kusini, Madambad Entertainment, amewashukuru mashabiki zake kwa mapokezi makubwa ya wimbo, Focus wa msanii wao, Coolpixie. Akizungumza na MTANZANIA, bosi wa lebo hiyo, Madam Bad alisema ndani ya muda mfupi tangu walipoachia wimbo huo kwenye mitandao ya kuuza na kusikiliza muziki, mwitikio umekuwa mkubwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *