img

Ugonjwa wa ukoma mbioni kutokomezwa nchini

November 12, 2020

Na  MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM UTAFITI uliofanyika nchini kuhusu ugonjwa wa ukoma umeeleza kuwa kuna matumaini mapya ya kutokuwa na kizazi kisichokuwa na ugonjwa huo kwa kuutokomeza kabisa. Utafiti huo uliohusisha watu wengi na ulioanzishwa na taasisi ya afya ya kimataifa ya Novartis kwa kushirikiana  na mipango ya kudhibiti ukoma Tanzania na nchi nyingine,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *