img

Tanzania ilivyopunguza ajali za pikipiki

November 12, 2020

Na Faraja Masinde Takwimu za mwaka huu zilizotolewa na Jeshi la Polisi Tanzania zinaonyesha kuwapo kwa mafanikio katika kukabiliana na ajali zinazosababishwa na pikipiki maarufu kama Bodaboda. Takwimu hizo zinaonyesha kuwa kwa mwaka 2019/20 mbali na kupungua kwa ajali hizo pia hata idadi ya vifo vinavyotokana na ajali hizo vimepungua ikiwamo pia idadi ya majeruhi.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *