img

Takukuru yawaita wakulima waliodhulumiwa fedha za matrekta

November 12, 2020

Na MOHAMED HAMAD-MANYARA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imewataka wakulima ambao fedha zao zilichukuliwa kwa udanganyifu kwa ahadi ya kununuliwa matrekta wawasilishe malalamiko yao ili waweze kurudishiwa fedha hizo. Hatua hiyo inafuatia baada ya wakulima wawili kutoka wilayani Hanang’ mkoani Manyara kuilalamikia kampuni moja kwa madai ya kuchukua fedha zao na kushindwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *