img

Rais Dk. Mwinyi aahidi Zanzibar ya ‘Uchumi wa Bluu’

November 12, 2020

Na MWANDISHI WETU, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuijenga Zanzibar mpya kwa kupitia uchumi wa kisasa wa Buluu (Blue Economy). Dk Mwinyi alitoa ahadi hiyo jana, katika hotuba yake ya uzinduzi wa Baraza la 10 la Wawakilishi lililofanyika huko katika ukumbi wa Baraza hilo Chukwani,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *