img

NEMC yawaonya watapishaji vyoo wakati wa masika

November 12, 2020

Na MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na maofisa mazingira wa majiji, manispaa and halmashauri zote  nchini, wamejipanga  kudhibiti wakazi wenye tabia ya  kutapisha vyoo hasa katika kipindi hiki cha msimu wa mvua. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *