img

Sun Kika aichambua ‘Bitu Biko’

November 11, 2020

DALLAS, MAREKANI MWIMBAJI wa Injili anayekuja kwa kasi kutoka nchini Marekani, Sun Kika, amesema wimbo, Bitu Biko umebeba historia ya maisha yake na jinsi Mungu alivyomfanya awe na heshima. Sun Kika, ameliambia MTANZANIA jana kuwa kila mtu ana simulizi ya maisha yake ila yeye kupitia wimbo Bitu Biko amewasemea ambao waliwahi kuumizwa na watu waliowaamini.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *