img

Biden aendelea na mipango ya kuunda serikali

November 11, 2020

Rais mteule wa Marekani Joe Biden anaendelea na mchakato wa kuujenga utawala wake, huku rais aliyeshindwa katika uchaguzi uliopita, Donald Trump akiendelea kuwasilisha mkururo wa kesi mahakamani. Joe Biden anapanga kukutana leo Jumatano na kikundi cha washauri wake, ambao wanamsaidia kuweka msingi wa utawala mpya, na kumuandaa kula kiapo cha kuchukua madaraka aifikapo Januari 20,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *