img

Ujenzi Stendi mpya Mbezi wafikia asilimia 90

November 9, 2020

Na Brighiter Masaki Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge amesema Ujenzi wa Stand mpya ya Mabasi ya mikoani ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam umefikia 90% na itaanza majaribio ya kwanza November 25 na kuanza kutumika rasmi November 30, mwaka huu. Akizungumza na jana ofisini kwake jijini Dar es Salaam, Kunenge,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *