img

Serikali yataka tafiti dawa asilia

November 9, 2020

Na Aveline Kitomary Serikali imewataka watafiti mbalimbali kufanya tafiti za dawa asilia ili kutoa taarifa sahihi kwa wananchi katika kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hayo yamesemea leo Novemba 9, 2020 na Mganga mkuu wa serikali, Prof Abel Makubi wakati akimwakilisha Katibu mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. “Tunahitaji tafiti zitakazosaidia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *