img

JPM: Chapeni kazi

November 9, 2020

Na MWANDISHI WETU Rais Dk. John Magufuli amewatoa hofu Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwani ameanza nao na atamaliza nao. Rais Magufuli amesema hayo leo Novemba 9, katika hafla ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi iliyofanyika katika viwanja,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *