img

Trump ahamishia vilio vya chaguzi Afrika Marekani

November 8, 2020

RATIFA BARANYIKWA Na MASHIRIKA YA HABARI TUMEZOEA kusikia habari za  malalamiko ya kura kuibiwa hasa katika nchi za Afrika. Tumezoea sana kusikia vurugu za uchaguzi na kutokubali matokeo Afrika. Kwa nchi kama Marekani ambayo imekuwa ikitambulika kama baba wa demokrasia habari hizi zilikuwa ni nadra. Ni miaka minne iliyopita katika uchaguzi uliomwingiza tajiri, bilionea Donald,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *