img

Kidato cha pili kuanza mtihani kesho

November 8, 2020

Na FARAJA MASINDE-DAR ES SALAAM JUMLA ya watainiwa 646,148 wa kidato cha pili kesho Novemba 9, wanatarajiwa kuanza mtihani wa upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili huku kidato cha Nne wakianza mtihani wa taifa Novemba 23 hadi Desemba 11, mwaka huu. Akitoa ratiba hiyo leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza Mitihani,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *