img

HESHIMA! Simba, Yanga zagawana pointi moja moja zikiwapa mashabiki pambano safi

November 8, 2020

NA ASHA KIGUNDULA-DAR ES SALAAM TIMU za Simba na Yanga, zimegawana pointi moja moja, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa jana Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao kupata bao la kuongoza dakika ya 31 kwa mkwaju wa penalti wa Michael Sarpong, baada ya beki wa Simba,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *