img

Watoto wa Trump wawashutumu wanachama wa Republican kwa ‘usaliti’

November 6, 2020

WASHINGTON, MAREKANI Watoto wawili wa kiume wa Rais Donald Trump wamewashutumu wanachama wa Republican kwa kutomuunga mkono rais anapokabiliwa na ushindani mkali kutetea mhula wa pili madarakani. Mwana mkubwa wa, Trump Don Jr alikosoa chama kwa kuwa “dhaifu”. Ndugu yake Eric alionya: “Wapiga kura wetu hawatawahi kuwasahau mkijifanya wanyonge!” Hatua hiyo inaasharia ya mgawanyiko ulioibuka,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *