img

Wachimbaji wa Tanzanite waweka matumaini yao kwa Magufuli

November 6, 2020

Na JANETH MUSHI-ARUSHA CHAMA cha wachimbaji wa madini Mkoa wa Manyara (Marema) kwa kushirikiana na Kamati ya Madini ya Tanzanite, wamempongeza Rais Dk. John Magufuli, kwa kuchaguliwa kwa awamu nyingine. Aidha wamemuahidi kuhakikisha sekta ya madini nchini inakua kwa kasi kwa kulipa kodi stahiki pamoja na kuzuia utoroshwaji wa madini hasa ya Tanzanite ambayo yanachimbwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *