img

MECHI YA WATANI… Sven awatoa hofu Simba, Yanga waapa

November 6, 2020

Na WINFRIDA MTOI, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amewatoa hofu wapenzi wa timu hiyo kuelekea pambano la kukata na shoka dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga litalochezwa kesho kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Wakati ikiwa hivyo kwa upande wa Simba, Yanga wao wameapa kuwaliza wakongwe wenzao hao wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *