img

Corona yapunguza magonjwa ya mlipuko

November 6, 2020

Na Raymond Minja Magonjwa ya mlipuko katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ikiwemo kipindupindu, kuhara pamoja na mafua yamepungua kwa kiasi kikubwa baada ya janga la corona kupita kutoka na jamii kuelimika kuhusu unawaji mikono kwa sabuni na maji tiririka. Akizungumza na leo Novemba 6, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mafinga Mji, Dk. Victor Msafiri,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *