img

Watakiwa kuepuka magonjwa ya mlipuko

November 5, 2020

Timothy Itembe  Mara JAMII mkoani Mara imetakiwa kuchukua tahadhari ya magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu,  corona na mengine katika kipindi cha kuelekea  kumaliza  mwaka 2020 ili kujenga taifa lenya watu wa afya na maendeleo. Mganga Mkuu wa mkoa Mara, Florian Tinuga, karibuni alisema magonjwa kama hayo yanakwamisha maendeleo na rasilimali fedha pindi yanapokuwa yamepokuwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *