img

YANGA YABANWA YATUA KILELENI

November 4, 2020

Sosthenes Nyoni TIMU Yanga imelazimishwa suluhu na Gwambina,katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa jana Uwanja wa Gwambina Complex, ulioko wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza. Hata hivyo, licha ya suluhu hiyo, Yanga ilichumpa hadi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu, baada ya kufikisha pointi 23, ilizozipata baada ya kushuka dimbani mara  tisa, ikishinda michezo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *