img

Waziri Mkuu wa Ethiopia aagiza jeshi kuliokoa Taifa

November 4, 2020

ADDIS ABABA, ETHIOPIA  Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed amesema ameamuru jeshi kutekeleza wajibu wake wa kuliokoa taifa na Umma katika jimbo la kaskazini la Tigray baada ya kukishutumu chama cha TPLF ambacho kimekuwa kikiongoza jimbo hilo tangu mwanzoni mwa miaka ya 90 kwa ‘kuanzisha vita.’  Ahmed amekishutumu chama cha TPLF kwa kushambulia ngome ya kijeshi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *