img

Wamarekani wanasubiri kujua nani atashinda urais

November 4, 2020

WASHTON, MAREKANI Huenda Wamarekani wakakesha Jumatano ya leo kabla ya kujua nani atakuwa rais wao mpya kutokana na ushindani mkubwa uliokuwepo kwenye uchaguzi huu uliofanyika wakati taifa hili limegawika sana kwa mara ya kwanza tangu vita vya Vietnam miaka 1970. Kura zinahesabiwa katika majimbo yote hivi sasa na katika majimbo ya mashariki inaonekana wagombea hao,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *