img

Wahasibu kukutana JNICC

November 4, 2020

Faraja Masinde- Dar es salaam CHAMA cha Wahasibu Tanzania (TAA) kinatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa kawaida wa 37 Novemba 12-13, mwaka huu jijini Dar es Salaam, kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC). Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama hicho, CPA. Peter,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *