img

Ugonjwa wa kifua kikuu waua watano

November 4, 2020

Mwandishi Wetu- Songea WAGONJWA watano sawa na asilimia 2.4, kati  watu 203 waliobainika kuwa na ugonjwa wa kifua kikuu walioibuliwa  kupitia kampeni ya uelimishaji na uibuaji ya ugonjwa huo inayofanywa na Hospitali ya Wilaya Tunduru mkoani Ruvuma, wamepoteza maisha kati ya  Julai hadi Septemba, mwaka huu. Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Wilaya ya Tunduru,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *