img

Simba, Kagera kazi haitakuwa rahisi leo

November 4, 2020

Asha Kigundula -Dar es salaam MABINGWA watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara, timu ya Simba leo itashuka dimbani kuumana na Kagera Sugar, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba itashuka dimbani ikihitaji kuweka heshima dhidi ya Kagera Sugar ambayo ni moja kati ya timu imara na zenye uzoefu katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *