img

Silvo Classic kuipasha tasnia ya mitindo

November 4, 2020

KUTOKA nchini Marekani, mwanamitindo anayekuja kwa kasi, Silvo Classic, ametamba kuwa miongoni mwa mipango yake ya hivi karibuni ni kuipaisha tasnia hiyo na kuitangaza Afrika Mashariki. Akizungumzza na Swaggaz jana, Silvo ambaye ni miongoni mwa wanamitindo wanaoshiriki kwenye tuzo za Cleveland Youth Festival, alisema amekuwa akifanya tasnia hiyo kwa muda mrefu na anajivunia kuwa Mtanzania,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *