img

Ndugai, Tulia wagombea pekee Uspika, Unaibu bungeni

November 4, 2020

Ramadhani Hassan -Dododma ALIYEKUWA Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai  na Naibu Spika, Dk. Tulia Akson wamechukua fomu za kugombea nafasi hizo kwa Bunge la 12. Wa kwanza kuchukua fomu hizo jana alikuwa ni Ndugai ambaye ni Mbunge Mteule wa Kongwa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM),

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *